Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kwa Arusha ukija kindezi tunakutoa baru, huku wanaishi wagumu tuu.Ila karibu tuangalie muviKataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni
Kwangu mimi mwanza,mpanda na morogoro bila kukosa kahama nawapenda Sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home
Najua unajaribu kulinganisha na wale jamaa zenu wa Mtwara ambao wanawabua sana watu wa mikoani, wanawaita wa Kaskazini kwa sababu Mtwara ipo Kusini.Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni
Kwangu mimi mwanza,mpanda na morogoro bila kukosa kahama nawapenda Sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home
Umesahau Mbeya, Songea na IringaKataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni.
Kwangu mimi mwanza,mpanda na Morogoro bila kukosa kahama nawapenda sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home.
Yaani Shinyanga mkuu ndiyo unatutupa kabisa? Hapa kwetu mgeni akiulizia mahali kwamba kapotea tunamsindikiza mpaka anakoenda! Hiyo yote ni jinsi tulivyo na upendo na watu!Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni.
Kwangu mimi mwanza,mpanda na Morogoro bila kukosa kahama nawapenda sana I feel like home japo Mimi ni mzaliwa wa mtwara ila sehemu tajwa hapo juu it is second home.
Mkuu wa kipumbavu huoKwa Arusha ukija kindezi tunakutoa baru, huku wanaishi wagumu tuu.Ila karibu tuangalie muvi
Songea sawa ila mbeya big no iringa sijuiUmesahau Mbeya, Songea na Iringa
Watu wa Mtwara mizinguo sanNajua unajaribu kulinganisha na wale jamaa zenu wa Mtwara ambao wanawabua sana watu wa mikoani, wanawaita wa Kaskazini kwa sababu Mtwara ipo Kusini.
Hivi pale mjini bado wana mambo ga ubaguzi kwa wageni au imebaki vijijini? Na ndio ukirudi Mtwara uwaelimishe ndugu zako kwamba, Tanzania ni moja