Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Ngoja kwanza asaidie kuutafsiri ule wimbo wake, maana haujaeleweka Vizuri
 
Vitu vingne ni vya kujitakia....Acha aisomee NUMBER.....inajulikana kabsa huyu kipindi kile cha kampeni alikuwa TEAM LOWASSA afu na upuuzi wake anaimba nyimbo za kumkashifu RAIS afu aachwe.....
Kuongea ukweli ndo kumkashifu Rais. Kipi amekisema kwenye wimbo wake ni cha uongo?
 
Vitu vingne ni vya kujitakia....Acha aisomee NUMBER.....inajulikana kabsa huyu kipindi kile cha kampeni alikuwa TEAM LOWASSA afu na upuuzi wake anaimba nyimbo za kumkashifu RAIS afu aachwe.....
Huyu Rais ana pepo kwakweli,kina Roma wangekuwa jela kama JK angekuwa JPM!
 
Vitu vingne ni vya kujitakia....Acha aisomee NUMBER.....inajulikana kabsa huyu kipindi kile cha kampeni alikuwa TEAM LOWASSA afu na upuuzi wake anaimba nyimbo za kumkashifu RAIS afu aachwe.....

Ndio maana Lisu anawashinda sana kwenye kesi hizi kwa sababu ya kukurupuka......kwani kwenye ule mziki kuna sehemu yeyote kamtaja Magufuli?? Mnamuongezea umaarufu
 
Ujumbe wake mzuri ila tahira asiyeweza kuwasilisha kwa lugha nzuri!
 
Kwani nay kataja jina la nani
 
Duuh! Ni kuuliza swali tu ndiko kunakosababisha unitukane? Au nimekukosea nini? Si busara ndugu yangu...shukrani pia kwa matusi yako! Niliuliza kwa nia ya kutaka kujua...
Mtu akiwa hana hoja, anaendeshwa na mihemko, haelewi anachokizungumza matokeo yake ndo hayo kutukana ndo suluhisho kwake,sijaona sababu ya yeye kutoa maneno km hayo. Mpuuze ni mjinga sio mpumbavu ni mjinga nadhan umenielewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…