Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

He he he kwa mwendo huu naona siku si nyingi maamlaka kupiga marufuku smart phones kwa kisingizio zimekuwa smart mno.
 
Ukoloni hautaondoka bila kuupinga. Dogo kathubutu kwa wimbo wewe unathubutu kwa kalamu. Tupinge udikteta hadharani. Hongera Nay. Utashinda
 
SASA HUYU SI JK ni MAGUFULI na ndio maana yupo tofauti kabsa.....
Ndio nasema ana pepo au mental disorder,haiwezekani Rais awe provoked na comments mitandaoni!!Anatokwa povu kwa vitu vidogo vidogo
 
Inategemea unajieleza VIPI.....wanagapi wanakosoa kwa HESHIMA....hUYU ney ANAJULIKANA KWA UPUUZI wake vizuri sana.....Acha akawaburdishe WAFUNGWA HUKO......haiwezekani mtu unaimba UPUUZI tena unamkashifu RAIS uchekewe.....
 
Ndio nasema ana pepo au mental disorder,haiwezekani Rais awe provoked na comments mitandaoni!!Anatokwa povu kwa vitu vidogo vidogo
Acha heshhima IWEPO.....mmezoea upuuzi mno
 
Inategemea unajieleza VIPI.....wanagapi wanakosoa kwa HESHIMA....hUYU ney ANAJULIKANA KWA UPUUZI wake vizuri sana.....Acha akawaburdishe WAFUNGWA HUKO......haiwezekani mtu unaimba UPUUZI tena unamkashifu RAIS uchekewe.....
Wapi ametaja rais
 
Huwa sibishani na wapu.Uzi aisee hapa utakiingia cha kike, uliza hao waathirika wa ngada wenzio watakujibu.
wewe yani bado upo ktk ulimwengu wa kutishana km SIZONJE., be reasonable and rational. Kiburi si maungwana.
 
.

Umewaza nini kitafuata baada ya kumkamata na kumhoji?
Kama kilichopelekea kukamatwa ni hizo sababu ulizobwatuka (wimbo "Free Nation") hapo mtamshitaki kwa kosa gani?

Ficheni ujinga wenu bana.....
 
Hivi wimbo wa chura ulipata followers wangapi? Na sasa wamebaki wangapi? Kila jambo huja na kipita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…