Tafuta Comments za Tangu anaingia na kuanza sakata la Sukari nilimpinga lakini haikunizuia kumuunga Mkono anapopatia!
Hata Kesho akipata kwny Jambo lolote sitosita kumuunga Mkono!
Sina utaratibu wa kumuunga Mkono Mtu kwa kila Jambo Kama ambavyo sina kawaida ya kumkosoa Mtu kwa kila Jambo!
Hata Lowassa huwa namuunga Mkono sana Mtu , mfano alipoweka Siasa pembeni na kuhudhuria Golden Jubilee ya Mkapa ya kutimiza Miaka 50 ya ndoa
Nimekuelewa mkuu.
Mimi sina chama ila tangu nikose Ongezeko la mshahara kulingana na mkataba wa kazi na kupanda daraja kwani nilitakiwa kupanda mwezi wa saba mwaka 2016.
Namuona Rais kama kichaa alikabidhiwa rungu.
Sasa hivi Hakuna Promotion bila ya kuhudhuria Mafunzo kwny Chuo cha Utumishi wa Umma Kivukoni kwa Mujibu wa Waziri Angela Kairuki,
hii ni baada ya igizo la uhakiki wa Vyeti na Watumishi hewa kufikia Mwisho!
Kuna sehemu kaimba "kichaa kapewa rungu"...Tanzania yangu hii! Kama vipi wanzania wote tungekuwa wahehe tungechukua uamuzi wa kujinyonga, basi. Wimbo wa Ney una kashifa gani? Mi naona amewakilisha kile ambacho watanzania wengi tunakijua na tunaamini ni kweli. Uhuru wa mtu kutoa mawazo uko wapi sasa?
Mnatukana uongozi afu mtataka tuwachangie mdhamana.
Sasa mimi nipo UDSM kwa ajili ya kuongeza elimu,je nitaacha hapa ili niende huko wanakohitaji.
Mbona itakuwa usumbufu sana inaweza kuniharibia baadhi ya malengo.