Wadau,
Mliopo Morogoro hapa niliponimesajili kampuni ila centre imekuwa vijijini sana, naomba yeyote aliye na office Morogoro anipe angalau chumba kimoja tu nishare na office zake. Gharama zote stahiki nitalipa, nahitaji msaada huu haraka kwani ningependa kutumia Adress yake kwenye certificate ya kampuni yangu.
Kampuni inahusiana na masuala ya ushauri wa media. consultant.
Nahitaji msaada wako wa haraka, asante.