figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching'anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.
Hiki ni kielelezo na mfano mzuri kwa Watanzania na Wanasiasa wote kutoa misaada bila kudai malipo
Hiki ni kielelezo na mfano mzuri kwa Watanzania na Wanasiasa wote kutoa misaada bila kudai malipo