Kazi ya kujenga vituo vya polisi ni ya serikali ambaye yeye anapaswa kuisimamia na kuishinikiza kutimiza wajibu wake, sio kuisadia kufanya yeye kwa mshahara wake na kisha KUTAKA front page ili kujiimarisha kisiasa.
Kuna Masauni, kuna yule wa TAMISEMI, wa miundo mbinu pia, kuna wa pale Magogoni, wote hawana visogo....wamegoma kuijenga Tanganyika, mmeamua kuchangishana sasa?
Hasara ni pale kwamza muafrika, pili ni -ke na tatu ni urojo....achilia mbali imani isiyotaka kabisa haya mambo meusi.