Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tangu lini maCCM yakafanya mambo kwa akili? Mawazo kama ya polepole yanawezaje kuleta tofauti kwenye masuala ya maendeleo?Watu na akili zao jangwani panawashinda,sijui wana matatizo gani.
Pamewashinda vipi wakati pesa zinakusanywa ili mradi wa kujenga flyover uanze? Ulitakaje?Watu na akili zao jangwani panawashinda,sijui wana matatizo gani.
UwiiWakapite daraja la juu la kwenda Masaki kwani hamuoni tunatekeleza
Pamewashinda vipi wakati pesa zinakusanywa ili mradi wa kujenga flyover uanze? Ulitakaje?
Hii serikali yani haithamini wazalendo. Badala ya kuwatumia akina mudy Physics na Elias Kihombo kutatua swala la mafuriko jangwani yani wamewaacha hadi wameondoka
Watatoa wapi hela wakati wameshaaribu kwa kuiba kura?Pamewashinda vipi wakati pesa zinakusanywa ili mradi wa kujenga flyover uanze? Ulitakaje?
Kwani miradi mingine yote huwa wanakusanya wapi? Miaka mingapi kwani tatizo la mafuriko Jangwani limeanza mwaka gani?Wanazikusanya wapi? Miaka yote hii wanakusanya pesa?
Kwa akili zako pale panahitaji Flyover si eti?Pamewashinda vipi wakati pesa zinakusanywa ili mradi wa kujenga flyover uanze? Ulitakaje?
Tumeamua kulegeza misuli ya kichwa ndio maana hatufikirii tenaWatu na akili zao jangwani panawashinda, sijui wana matatizo gani.
Hembu Sema wewe tukusikie, panahitaji nini ? ?kwa akili zako pale panahitaji flyover si eti?