Morogoro Road yafungwa Jangwani

Asking for a friend who's not a member.
' Hivi lile daraja la aga Khan to Masaki na sehemu ya Jangwani ipi
1. Ina unuhimu
2. Ipi inahudumia wananchi wengi
3. Ipi Ina gharama ndogo kujenga
4. Ipi ilianza kuonekana Ni Kero
5. Ipi inatumiwa na wapigakura
6. Ipi inatumiwa na watembea kwa miguu wa hali ya chini.
 
kwani lile Daraja la mita 300 usawa bahari aliloahidi Makonda limefikia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…