CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kufanya uzinduzi wa msimu wa kilimo 2022-2023 na kushuhudia ugawaji wa ardhi katika mashamba yaliyorejeshwa wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Mtakumbuza katika msimu huu wa kilimo Rais Samia ameongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya bilioni 700 nakufikia TZS 957 kutoka TZS 250bilioni,
Rais Samia pia katika kutatua migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji amepunguza ardhi ya hifadhi na kuwamilikisha wafugaji na Wakulima katika mikoa mbalimbali ikiwemo Morogoro,
#Hongera Hussein Bashe, Hongera Rais Samia