CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Hapo mama kupiga mwingi.Katika mambo machache makubwa ambayo Rais Samia amefanikiwa ni hili la kurudisha ardhi kwa Wakulima na wafugaji,
Mkoa wa Morogoro Wananchi Wanampenda Sana huyu mama hasa Wakulima na wafugaji
View attachment 2376605
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kufanya uzinduzi wa msimu wa kilimo 2022-2023 na kushuhudia ugawaji wa ardhi katika mashamba yaliyorejeshwa wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro...
Lucas mwashambwa unaongea kwa hisia Sana,Haya ndio mambo yanayofanya CCM na serikali yake Kuendelea kuwa na kuishi katika mioyo ya watanzania walio wengi, CCM muda wote inagusa maisha ya watanzania...
Zitamwondoa kwenye shida ya Chakula na ziada atauza kununua mavazi na malazi na kusomesha watotoKilimo cha jembe la mkono hakitamsaidia mtu….unampa mtu heka mbili tatu zitasaidia nini ?
Kilimo cha jembe la mkono hakitamsaidia mtu….unampa mtu heka mbili tatu zitasaidia nini ?
Wewe ni jembe sana mkuu wa kazi,Umewahi kulima? Unajuwa hizo heka tatu Ni sawa na gunia ngapi za mahindi au mpunga atakazopata au au anazoweza kuzipata mkulima akihudumia vizuri na kupanda mbegu iliyo Bora na inayoendana na ardhi ya eneo husika? Unajuwa ni kiasi gani hizi heka tatu zitamuinua kiuchumi mkulima?
Unajuwa ni kiasi gani heka hizo zinaweza kubadilisha maisha ya mkulima na kuleta Tabasamu usoni pa mkulima? Hujuwi heka hizo zinaweza kumaliza njaa na kumuondoa mkulima wa kaya na familia fulani katika umaskini? Hujuwi kuwa ardhi Ni Mali? Hujuwi kuwa Ardhi ni mdhamana?
Usiipe akili yako kazi ya kupinga na kukosoa kila kitu hata chenye manufaa kwa watu, pia usipende kuona na kufurahia watu wakihangaiika na kuteseka muda wote ili mpate ya kuongea ongea na kuichonganisha serikali na wananchi wake, inapofanya vizuri serikali jaribu kuipongeza japo huradhimishwi maana wananchi Kama Hawa watakao nufaika na juhudi hizi za serikali watasimama kuitetea na kuipongeza serikali yao hata Kama wewe mmoja utashika kazi ya kupinga kila kitu, hakuna atakaye kusikiliza Wala kukuunga mkono maana kazi za serikali hii zinaonekana machoni pa watanzania
Hapo hapo Morogoro ndipo Shaka alikula rushwa akiwa kiongozi wa ccm na kutumbuliwa.
kazi inaendelea,Ahsante kwa taarifa...