Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Mussa Kaswahili amesema eneo hilo la Mizani barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Iringa, awali lilikuwa na mzani mmoja, lakini Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mzani husika.

Amesema: “Awali ilikuwa lazima magari yote yapimwe, lakini maboresho mapya yatachuja magari yanayotakiwa kupimwa na mengine yatakayoonesha yanatakiwa kupimwa yataingia katika mzani.”
 
Wakajibu maswali ya CAG kwanza maana bajeti ya mwaka jana hakuna walichofanya hao jamaa
 
Back
Top Bottom