Morogoro: Timu ya Wamasai yatinga 16 Bora Kombe la Pamoja na Mama. Rushwa nyingine ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakipiga kelele!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kumbe kuna kampeni ya kupata kura za wamasai na hamsemi !

====
Your browser is not able to display this video.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024


Michuano ya Pamoja na Mama Cup inayoendelea Mkoani Morogoro izazidi kupamba moto na imefika hatua ya 16 Bora, kilichowavutia wengi ni timu ya Wamasai pekee kuzidi kufanya maajabu katika Michuano hiyo.

Timu zilizotinga 16 bora pamoja na Mama Cup Moro Kilosa.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa sekta hii?
 
Sasa hapo kuna rushwa gani?Au hawapaswi kuwa na timu?Wapinzani wamekuwa so desperate hawataki hata wamasai wacheze mpira?
 
Wamasai wamefikaje matuta!?
Hapo ilikuwa wanapiga mipira ya juu wao wanaruka header goli
Anyway nami nasema 5 tena
 
Hayo ni maajabu ya soka, Maasai kusakata kabumbu kama Real Madrid, usikute kuna vipaji vya kucheza hata EPL hasa wafungaji wa magoli ya vichwa, maskauti waende Moro kusaka vipaji!!

Hii inanikumbusha India na China kuna watu bilioni na ushee ila kila mashindano makubwa hawamo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…