Morogoro ubovu wa miundombinu, MSD waeleza "dawa zinabebwa kichwani kuvuka mto", magari hayafiki

Morogoro ubovu wa miundombinu, MSD waeleza "dawa zinabebwa kichwani kuvuka mto", magari hayafiki

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa

Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro....

Source : Millard ayo

Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini mkoani Morogoro, ili MSD wafikishe dawa hulazimika kutumia bodaboda kubeba dawa. Pia kuna mito mingi hivyo hulazimika kubeba dawa kichwani ili kuvusha dawa
 
Miaka 61 ya UHURU halafu kina Etwege na kina mwashambwa wanaimba mapambio mijitu Ina roho ngumu sana
 
Waeza Kuta ndani ya box hamuna kituu, ni baga tuu....ama zavushwa mto kwa miguu Kisha zarejeshwa kwa boat ya speed kali
 
Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa



Hayo yamebainika mkoani Baga, Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro....

Source : millard ayo

Acha chokochoko mkuu watu hawalali kwaajil ya kuipambania nchi yetu asee, halaf unaleta taharuki?
 
Back
Top Bottom