msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
Habari ndugu waheshimiwa, kwa wale wanaojua au kufanya biashara kwenye mikoa tajwa nnaomba msaada.... nnaplan kufanya biashara za minadani na kuna option mbili za maeneo nnayotamani kuanzia mkoa wa morogoro au Tanga...
1.je ni upi wenye interaction na idadi ya kuridhisha ya watu?
2.Je ni upi ambao unahali inayoridhisha kibiashara?
3.wenye gharama nafuu za maisha
4.maeneo tofauti ya minada ya bidhaa tofauti za mikoa hiyo
5.taarifa nyingine muhim kufahamu