Morogoro vs Tanga

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
277
Reaction score
381
Habari ndugu waheshimiwa, kwa wale wanaojua au kufanya biashara kwenye mikoa tajwa nnaomba msaada.... nnaplan kufanya biashara za minadani na kuna option mbili za maeneo nnayotamani kuanzia mkoa wa morogoro au Tanga...
1.je ni upi wenye interaction na idadi ya kuridhisha ya watu?
2.Je ni upi ambao unahali inayoridhisha kibiashara?
3.wenye gharama nafuu za maisha
4.maeneo tofauti ya minada ya bidhaa tofauti za mikoa hiyo
5.taarifa nyingine muhim kufahamu
 
Jaribu Moro, nimeona hiyo biashara ya minada inafanyika kwa uwingi kias na Geographai ya moro nahis ina support sana aina hiyo ya biashara, kuhusu chakula nakumbuka mzee Kikwete aliifanya Moro kuwa ghala kuu la chakula ko nahis kuhusu msosi hapana tabu ila wakazi wa moro watakujuza zaid, kuhusu Tanga sina ninalolifaham regarding biashara unayotaka fanya
 
karibu Moro mzee mji mkubwa uliojengeka sehemu ndogo, but kuna watu wazuri na wastaarabu mno.
Karibu sana na hongera kwa uthubutu.
 
Asante sana, na maeneo salama kuishi ni yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…