Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wajinga ssana hao walimu. Kila kitu kimebainishwa kwenye ssheria unaenda kujizalilisha barabarani??Walimu wanaoendelea kufungamana na hao wahuni wa CWT wanatakiwa kujipima ili kuona kama wanajitambua, na pia wana uchungu na fedha zao!
Hapo ukisaini tu hizo fomu zao, mwalimu unaendelea kukatwa na hao wezi 2% kwenye mshahara wako kila mwezi, na wakati kuna wale wezi wengine wastaarabu wa chakuhawata huwa wanakata 5000 tu kwa kila mwalimu kila mwezi!