KERO Morogoro: Wananchi Mkundi waandamana na madumu mbele ya Mkuu wa Wilaya "Kwa wiki maji yanatoka saa moja"

KERO Morogoro: Wananchi Mkundi waandamana na madumu mbele ya Mkuu wa Wilaya "Kwa wiki maji yanatoka saa moja"

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Waziri wa Maji ondoka na huyo kiongozi wa maji ambaye anasema hajui kama wananchi wana kero
 
Nawapongeza sana wananchii CCM wanafanyaga kazi kwenye campaign za uchaguzi ukiona 2025 imepita subiri mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom