Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na wananchi kuhofia uwepo wa askari wengi katika vituo hivyo vya kupigia kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baadhi ya Wananchi hao wameeleza kuwa katika zoezi hilo la upigaji kura kumekuwa na changamoto nyingi ikiwemo wingi wa askari hali ambayo imepelekea wananchi kutofika katika vituo kutokana na hofu
Aidha Mkurugenzi wa halmashauri ya Kilosa amesema changamoto hiyo imesababishwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kufungia vifaa baada ya ubishani kati yao na wasimamizi wa uchaguzi