Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo".
Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani hata yeye pamoja kuwa na matatizo na Yanga lakini hajawahi watusi wala kuwakejeli viongozi wa yanga.
Kuoneshwa kuguswa na Maneno ya Morison Bw.Haji amemuomba ndugu Senzo kumsaidia kujibu shutuma hizo kwa kimombo, kwani lugha iliyotumika ilikuwa ni ya kigeni.