Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
PROPAGANDA KWA HAJI NDIOKAWAIDA YAKE SISHANGAIKatika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo".
Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani hata yeye pamoja kuwa na matatizo na Yanga lakini hajawahi watusi wala kuwakejeli viongozi wa yanga.
Kuoneshwa kuguswa na Maneno ya Morison Bw.Haji amemuomba ndugu Senzo kumsaidia kujibu shutuma hizo kwa kimombo, kwani lugha iliyotumika ilikuwa ni ya kigeni.
View attachment 1918284
Bm3 ana uchungu sana mwacheni atoe Sumu mwilini. Walichomfanyia uto hana hamu nao kabisa.BM nae aachane na vijimambo vya mitandaoni,yeye abaki kucheza mpira,aendelee kuwakera uwanjani tu,mambo ya Manara na mitandao sisi washabiki wa Simba tunamalizana nao.
Mwenyewe nimeshangaa mkuu, morison anamuelimisha mtu kweli.Kwel nzi aikacha ujinga anaanza kutengeneza asali. Hivi kumbe kichwa cha Morrison kina akili namna hii 😁😁😁
Wakati mwingine ni bora watu wakaambiwa ukweli.BM nae aachane na vijimambo vya mitandaoni,yeye abaki kucheza mpira,aendelee kuwakera uwanjani tu,mambo ya Manara na mitandao sisi washabiki wa Simba tunamalizana nao.
Enhee hata mimi nimeshangaa, ukiona mpaka chizi anatoa ushauri , jua hali ni mbayaHilo nalo chizi linatoa ushauri
mkuu hapo ndio unaona umuhimu wa shule. morrison kaenda shuleKwel nzi akiacha ujinga anaanza kutengeneza asali. Hivi kumbe kichwa cha Morrison kina akili namna hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Morrison mwenyewe ashauriwe aache hii tabia yake ya kuvua nguo hadharani.Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo".
Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani hata yeye pamoja kuwa na matatizo na Yanga lakini hajawahi watusi wala kuwakejeli viongozi wa yanga.
Kuoneshwa kuguswa na Maneno ya Morison Bw.Haji amemuomba ndugu Senzo kumsaidia kujibu shutuma hizo kwa kimombo, kwani lugha iliyotumika ilikuwa ni ya kigeni.
View attachment 1918284
Na wewe nenda kwenye page yake umshauriMorrison mwenyewe ashauriwe aache hii tabia yake ya kuvua nguo hadharani.
Shule ile ya kuvua nguo hadharani au ile alitaka kumla denda Mugalu mbele ya camera?mkuu hapo ndio unaona umuhimu wa shule. morrison kaenda shule
Msomi anakaa uchi mbele za watumkuu hapo ndio unaona umuhimu wa shule. morrison kaenda shule
Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo".
Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani hata yeye pamoja kuwa na matatizo na Yanga lakini hajawahi watusi wala kuwakejeli viongozi wa yanga.
Kuoneshwa kuguswa na Maneno ya Morison Bw.Haji amemuomba ndugu Senzo kumsaidia kujibu shutuma hizo kwa kimombo, kwani lugha iliyotumika ilikuwa ni ya kigeni.
View attachment 1918284
Nyani haoni kunduleHii lugha ya Manara utadhani katranslate kutoka Google[emoji3][emoji3][emoji3]