Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Morison analelewa vibaya na TFFWewe unamchukia au unampenda? Tuanzie hapo kwanza.
Morison analelewa vibaya na TFF
Mashabiki viazi wa Simba watakuja kukutukana sasa hivi hapa,yaani in short tu ni kwamba mashabiki wa Simba hawataki kabisa kusikia mtu anamzungumzia huyu mchezaj wao kwa kile kitendo alichokifanya,mashabiki wa Simba ukiwauliza kwamba kwa nn mnamtetea huyu jamaa wanakwambia eti hicho kitendo ni maisha binafsi ya mchezaji na wala si utovu wa nidham(Umbumbumbu ni kaz sana)
hili dole unalipambania kweri-kweri 🤣Wewe ni mshabiki wa timu gani?
Inakuhusu nn,haya mambo aliyaktaaga mzee kumhoji mtu wewe n mzanzibari au mzanzibaraWewe ni mshabiki wa timu gani?
[emoji28][emoji28][emoji28],wanaipambania sanahili dole unalipambania kweri-kweri [emoji1787]
hili dole unalipambania kweri-kweri 🤣