Morrison aonesha utovu wa nidhamu

El Hadji Diouf

Alikuwa mkorofi ila kiwango ni balaa Zitto

Sio huyu wa kwetu
Simba wachukue hatua.


Huo mzigo wa Mo
 
Sisi washabiki ni wabinafsi, tunawatukana sana wachezaji, sana.

Ila wao wakitujibu tunapiga sana kelele.
Mkuu naamini una busara nyingi hasa kutokana na michango yako jukwaani hapa. Ila kila nikiona post yako kwenye huu uzi, narudi kuhakikisha kama ni mtu yule yule anayepost michango isiyo na shaka kwenye uzi wa Liver.
 
Alitegemea Yanga ingestruggle sana kutokana na pengo lake.Haamini anachikiona.
Kabisa mkuu,alidhani Yanga itaangaika,ule usemi wa kwamba mchezaji ni mtu mdogo ndan ya Club imejidhihirisha kwake.
 
Mkuu naamini una busara nyingi hasa kutokana na michango yako jukwaani hapa. Ila kila nikiona post yako kwenye huu uzi, narudi kuhakikisha kama ni mtu yule yule anayepost michango isiyo na shaka kwenye uzi wa Liver.

Wachezaji ni binadamu, wana mioyo kama tuliyo nayo sisi.

Sisi washabiki tusipompenda mchezaji tutamtukana majina yote, iwe kwenye mitandao au kwa kumzomea uwanjani.

Wakati Morrison yuko Yanga, sisi Simba tulimwita mwizi wa magari, ukumbuke pia alitufunga. Washabiki wa Yanga walimtetea kwa namna zote.

Morrison kaja Simba, sisi washabiki wa Simba tumechukua nafasi ya kumtetea huku Yanga wakimwita majina yote unayoyajua kumtukana.

Inafikia sehemu na yeye anachoka, anajaribu kujibu kwa vitendo kuonesha kwamba yeye pia anaumia tunavyomtukana, bahati mbaya sheria iko bias kwamba ni halali sisi washabiki kutukana ila ni haramu wao kutujibu.

Labda nikuulize swali, unadhani hakuna washabiki ambao wamesha mwoneshea dole la kati? Walifanywa nini?
 
Ule ni utovu wa nidhamu ukizingatia kafanya vile akiwa amevaa jezi ya Simba
 
Hivi mashabiki mbumbumbu na mashabiki nyani, ma mbwa ya kubwekabweka a.k.a uneducated people wasiojua football kulikon. Maneno ya yule kocha wenu mlimlalamikia kwa ubaguz.
Hawa kima wa Utopolo ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…