Morrison ataondoka Tanzania bila rekodi ya kuifunga Yanga

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Rejea heading hapo juu. Huyu mnayemuita WAKILI MSOMI aliwatungua Makolo. Lkn hakuwahi kufanya hivyo kwa Yanga. Kama ni kweli amerejea Jangwani, there's high likelihood ataondoka Tanzania bila kuwadhuru Yanga
 
Kwani amekuja nchini ili kuifunga Yanga?

Wewe ni Utopolo ? Sorry!
 
Na amerudi ili akawapasue tena Makolo.. Yule Barbara nazime avimbe yako na sura safari hii dadeq.. nadhani huh usajiri umemuumiza sana😁
 
Mpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi , alienda Simba kuchota pesa tu baada ya wao kumshobokea alipowatungua goli la kideoni!! mi niliona jezi za Simba hazikumpendeza kabisa na hawakujua jinsi ya kumtumia kama ilivyotokea kwa Niyonzima!!

Kwasasa Yanga ni superpower kwa soka la bongo, Simba imeshikwa pabaya , imenywea iko kama kifaranga alienyeshewa mvua , timu haina muscle ya kupigania mchezaji mzuri na Yanga , timu inaongozwa na demu, timu kabati la makombe liko tupu linajaa vumbi japo mashabiki wake Kolo FC wanajitutumua na kupayuka ovyo wakishangilia kiatu cha Mpole na hattrick ya Soap!
 
Mpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi , alienda Simba kuchota pesa tu baada ya wao kumshobokea alipowatungua goli la kideoni!! mi niliona jezi za Simba hazikumpendeza kabisa na hawakujua jinsi ya kumtumia kama ilivyotokea kwa Niyonzima!!

Kwasasa Yanga ni superpower kwa soka la bongo, Simba imeshikwa pabaya , imenywea iko kama kifaranga alienyeshewa mvua , timu haina muscle ya kupigania mchezaji mzuri na Yanga , timu inaongozwa na demu, timu kabati la makombe liko tupu linajaa vumbi japo mashabiki wake Kolo FC wanajitutumua na kupayuka ovyo wakishangilia kiatu cha Mpole na hattrick ya Soap!
Sana
 
Chiziiiiiii!!!!
IMG-20220704-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom