Kwani amekuja nchini ili kuifunga Yanga?Rejea heading hapo juu. Huyu mnayemuita WAKILI MSOMI aliwatungua Makolo. Lkn hakuwahi kufanya hivyo kwa Yanga. Kama ni kweli amerejea Jangwani, there's high likelihood ataondoka Tanzania bila kuwadhuru Yanga
Hakuna tatizo, Sopu anatosha kwa ajili ya kazi hiyo.Rejea heading hapo juu. Huyu mnayemuita WAKILI MSOMI aliwatungua Makolo. Lkn hakuwahi kufanya hivyo kwa Yanga. Kama ni kweli amerejea Jangwani, there's high likelihood ataondoka Tanzania bila kuwadhuru Yanga
Huyo naye za ndani Ni kuwa Mhandisi keshamaliza mchezoHakuna tatizo, Sopu anatosha kwa ajili ya kazi hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi...
Sawa tuKwani amekuja nchini ili kuifunga Yanga?
Wewe ni Utopolo ? Sorry!
SanaMpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi , alienda Simba kuchota pesa tu baada ya wao kumshobokea alipowatungua goli la kideoni!! mi niliona jezi za Simba hazikumpendeza kabisa na hawakujua jinsi ya kumtumia kama ilivyotokea kwa Niyonzima!!
Kwasasa Yanga ni superpower kwa soka la bongo, Simba imeshikwa pabaya , imenywea iko kama kifaranga alienyeshewa mvua , timu haina muscle ya kupigania mchezaji mzuri na Yanga , timu inaongozwa na demu, timu kabati la makombe liko tupu linajaa vumbi japo mashabiki wake Kolo FC wanajitutumua na kupayuka ovyo wakishangilia kiatu cha Mpole na hattrick ya Soap!
Chiziiiiiii!!!!Mpira wetu umejaa fitna na uchawi , Yanga au Simba ikiwin sekta hizo ni makombe tu! Morrison aliletwa nchini na Yanga asingetufunga na anarudi , alienda Simba kuchota pesa tu baada ya wao kumshobokea alipowatungua goli la kideoni!! mi niliona jezi za Simba hazikumpendeza kabisa na hawakujua jinsi ya kumtumia kama ilivyotokea kwa Niyonzima!!
Kwasasa Yanga ni superpower kwa soka la bongo, Simba imeshikwa pabaya , imenywea iko kama kifaranga alienyeshewa mvua , timu haina muscle ya kupigania mchezaji mzuri na Yanga , timu inaongozwa na demu, timu kabati la makombe liko tupu linajaa vumbi japo mashabiki wake Kolo FC wanajitutumua na kupayuka ovyo wakishangilia kiatu cha Mpole na hattrick ya Soap!
Tafuteni hela. Sio muda mrefu mtamwita Chama chini akiwatokaChiziiiiiii!!!!View attachment 2280946