Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kuna mtu kadandia mtumbwi wa vibwengo huko twitter. Mjifunze kubalansi shobo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana kulitaka mwana kulipewaKuna mtu kadandia mtumbwi wa vibwengo huko twitter. Mjifunze kubalansi shoboView attachment 2360469
Kashanogewa na maisha ya bongoMhh mna uhakika huyu morison ni mghana huyu?.maana kwanza hataki kurudi kwao pili ana matusi ya kizaramo
Huyo jamaa yuko tayri kucheza hata biashara united ili abaki bongoKashanogewa na maisha ya bongo
Ni wa baba ako?Huo sio mwandiko wa morison
Jamaa ana nidhamu tata sana yule.Timu aliyopo kwahyo sishangai