Morrison kaanza kuwavuruga Yanga

Morrison kaanza kuwavuruga Yanga

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
“Tulimpatia ratiba mapema kabla ya kujiunga alitakiwa kuifanya kwa ukamilifu lakini nimemuangalia naona Hakuifuata sawasawa ila atakuwa sawa,” Helmy Gueldich, Kocha wa viungo Yanga. [Mwanaspoti]

[emoji116]

Screenshot_20220804-091439.jpg
 
Tutaona kiwango chake tarehe 13 dhidi ya Simba tutajua alifuata ratiba au hakufuata uzuri wa Morrison ni mdau wa mitandao ya kijamii Kwaiyo taarifa hizi zinamfikia.
 
Tutaona kiwango chake tarehe 13 dhidi ya Simba tutajua alifuata ratiba au hakufuata uzuri wa Morrison ni mdau wa mitandao ya kijamii Kwaiyo taarifa hizi zinamfikia.
Sawa
 
Back
Top Bottom