Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

Kawaumbuaje?
 
Tarehe 13agust ndo itajulikana Nani mkubwa wa umri na ninani mkubwa wa mafanikio #simbanguvumoja
 
.
 
Duuuh!!! Mnamwaibisha mheshimiwa.
Mi nadhani huwa anajisikia vibaya sana anaposoma post kama hizi. Ni kwa vile tu kutokana na hadhi yake ndiyo maana anakaa kimya. Ila kwa kweli huko kuna shida.

Haya, leo hii mnaimba mapambio ya sifa kwa huyo mtu wenu. Ngoja, msije lalamika humu. Huyo ni kunguru, hafugiki, siyo wa kumalizia maneno na viapo.

Halafu, hampitishi siku bila kuanzia Uzi wa kuitaja Simba?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…