Morrison na Miquison: Mchezaji aliyefanyiwa faulo nyingi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara

Morrison na Miquison: Mchezaji aliyefanyiwa faulo nyingi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Wakati umefika sasa club ya Simba ichukue hatua za tahadhari kuwalinda wachezaji wake maana faulo wanazofanyiwa ni za hatari na zinaweza kupelekea kwa wachezaji hawa kupata madhara makubwa.

Kwa Miqueson yeye hufanyiwa faulo hizo na kuinuka hapo hapo na hivyo kuwafanya marefa wetu wa Bongo kuamini kuwa hakutendewa kitu wakati kiukweli hiyo ni calibre yake na simuoni kama Miqueson ni mtu wa kupenda kujidondosha.

Kwa Morrison yeye yaelekea mabeki wengi hawampendi na yeye kujikuta akifanyiwa faulo hizo.

Napenda kusisitiza hapa, tatizo ni hawa inexperienced referees wa ki-Bongo wasiojua kuzisimamia kiukamilifu sheria 17 za mchezo huo.
 
Unafanya nini mda huu??🤔🤔(pengine situation uliyonayo imekufanya utandaze pumba zako hapa)
 
Unachosema ni kweli Kaduguda na kundi lake ni dhaifu sana rafu wanazofanyiwa wachezaji wa simba zinaonekana za kawaida ila Wawa akicheza rafu ndiyo habari ya kuandikwa kwenye magazeti hata miezi sita ipite
 
Wakati umefika sasa club ya Simba ichukue hatua za tahadhari kuwalinda wachezaji wake maana faulo wanazofanyiwa ni za hatari na zinaweza kupelekea kwa wachezaji hawa kupata madhara makubwa.

Kwa Miqueson yeye hufanyiwa faulo hizo na kuinuka hapo hapo na hivyo kuwafanya marefa wetu wa Bongo kuamini kuwa hakutendewa kitu wakati kiukweli hiyo ni calibre yake na simuoni kama Miqueson ni mtu wa kupenda kujidondosha.

Kwa Morrison yeye yaelekea mabeki wengi hawampendi na yeye kujikuta akifanyiwa faulo hizo.

Napenda kusisitiza hapa, tatizo ni hawa inexperienced referees wa ki-Bongo wasiojua kuzisimamia kiukamilifu sheria 17 za mchezo huo.

1) Umeandika hayo pengine ndio unaishiaga kuangalia mechi anazochezaga Simba tu basi. Mechi wanazocheza Mtibwa ama Dodoma jiji hufatilii halafu unakuja unasema fulani na fulani ndio wanaongoza kuchezewa faulo mara nyingi.

2) mpira wa anakwenda anakwenda huwa mwisho wake uishiwa kuchezewa rafu.
Miqueson, Morisson, na Kisinda ni baadhi ya aina ya wachezaji wanaopenda mpira wa anao anao (anakwenda anakwenda) ambapo wachezaji wa timu pinzani huwapania pindi washikapo mipira. Kabla ya kutegemea kulindwa na marefa, inabidi wao wenyewe wabadilike waache kukaa na mipira muda mrefu
 
20201211_215757187700.jpg

Tunaionya TFF kama refa wameshindwa kuwalinda stars wetu tutaingia uwanjani wengewe kuwalinda
 
Back
Top Bottom