Kama kuna mtu au wewe Moderater una link ya the new land laws, Condominium (Unit Titles) Law and Mortgage Financing Acts, both of 2008, tafadhali tuwekee humu ndani. Na kama kuna any regulations zimeishaandaliwa na HAZINA (?) au ARDHI (?) nazo pia ziwekwe.