Mosa super power and cleaning

ednx

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
20
Reaction score
15
Msp cleaning company

mspc ni kampuni inayojihusisha na masuala ya usafi wa maeneo mbali mbali pamoja na kuuza dawa hivyo basi, wanahitajika watu kumi (10) wa marketing haraka iwezekanavyo kwaajili ya promosheni ya dawa zetu karibuni sana.
Sifa za mwombaji:
Cv au elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
ujuzi wa kazi husika
umri usiozidi miaka 35
awe anaishi maeneo ya dar es salaam
wanawake wana hamasishwa kuomba nafasi hii

wasiliana kwa namba.0658 848474 au 0712 768280
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…