Mose Iyobo: Mapenzi na Aunty Ezekiel yamenisaidia sana kwenye muziki

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
647x434xAunt-na-Mose.jpg.pagespeed.ic.SpgbUt0pn9.jpg

Dancer wa Diamond, Mose Iyobo amesema kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na Aunt Ezekiel kumemsaidia mambo mengi katika maisha yake.

Akizungumza na Bongo5, Mose amesema hasa hasa amenufaika sana na umaarufu wa Aunt Ezekiel ambae ni staa mkubwa katika tasnia ya filamu.

“Kuwa na mahusiano na mama Cookie kumenisogeza sana,” alisema Mose. “Kwa sababu ni star wa filamu toka kitambo sana. Mimi nilikuwa najulikana lakini siyo kivile, lakini nilivyokutana na Mama Cookie kuna vitu vingi vimeongezeka katika maisha yangu,” alisema Mose.

Pia Mose amesema mwanae Cookie ataonyeshwa hadharani rasmi kwa mara ya kwanza tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja.
 
Mbona cookie kashaoneshwa istagram tangu jana
 
Huu si mzigo wa waziri wa wanyama wa awamu ilopita?? Huyu anaziba aibu na kesi tu.. Anazuga tu hali huu mzigo na mtoto si wake..
 
Tunaomba picha ili nasi tuamini kama ww wanyama na huyo binti hapo
 
Back
Top Bottom