hahaha mkuu hukumsikia #dudubaya anakwambia anashindwa kula mihogo japokuwa anaipenda sababu ni umaarufu.Duuuh mshikaji hii picha umeitoa wapi?
Umaarufu shida jamani khaa
YanlaaaaaaaaahhhHawa wavulana na wasichana wa Dar tabu tupu
Naam, kuna keshoAkiba ya maneno inahusika sana hapa.
Angalizo zuri wasije kuwa kama wale.Basi sawa, Ila wakiachana wasije kuanza kutoana kasoro hapa.
Wanadai Mbwa wa Sultani naye ni Sultani wa Mbwa.mkuu ukistajabu ya chura utayaona ya supu na house girl wa Diamond ni star
KHA!! Salaaaleh, ndiyo haya uliyo jifunza kubeba watu uchi??? Ama wee kweli ume jifunza na ukahitimu dogo.
Una Uhakika?huyu Ezekiel kajitahidi kutulia
Naam, kuna kesho
Kweli kabisa ndugu yangu.Naam, kuna kesho
Dansa wa Diamond naye ni star?
Hahahaa.. Kaaz kweli kweli[emoji2] [emoji23]Dansa wa Diamond naye ni star?
Mwanafunzi kajitwisha mwalimu wake.Duuh hawa ni nani Mkuu?
Dansa wa Diamond naye ni star?
NashangaDansa wa Diamond naye ni star?
Wanasemaga mapepe akiolewa na akaamua kutulia hutuliaa kweli sio kama wale wanawake watakatifu.huyu Ezekiel kajitahidi kutulia