Moses Alli, Naibu waziri mkuu wa uganda ana miaka 88. Africa nani katuroga?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,451
Reaction score
17,939
Kwa sasa ana miaka 88. Bodo yupo serekalini kama naibu waziri mkuu huko Uganda Aliwahi kuwa Mwanajeshi. Ni mwanasheria kitaalam na mwanasiasa.
Kwa sasa anaonekana kabisa ana shida kubwa ya kiafya inayopelekea kuwa kama zezeta na mwili wake umekosa balance kiasi cha kushindwa kutulia anapokuwa amekaa.
Kustaafu wa viongozi wa afrika inaonekana kama ni jinai. Afrika nabj katuloga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…