Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh kamba hiiNilisoma sehemu muhammad(s.a.w) alifanyiwa operation na malaika jibril akiwa bwamdogo kabisa, akapasuliwa moyo wake ukaoshwa kwenye bakuli la dhahabu kisha ukarudiahiwa, na ukubwa wake alikuwa na alama hyo kifuani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, nilisoma sehemu hii kitu... Mie nafatilia fatilia sana visa vya manabii tofauti tofauti.
Kwa hiyo operation ya kwanza ya moyo ilifanywa na jibriil na siyo yule mSouth African Christiaan Neethling BarnardKweli mkuu, nilisoma sehemu hii kitu... Mie nafatilia fatilia sana visa vya manabii tofauti tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa maelezo niliyosoma, hili ndio jawabu lake mkuu.Kwa hiyo operation ya kwanza ya moyo ilifanywa na jibriil na siyo yule mSouth African Christiaan Neethling Barnard
And, it's basically very true!