Elections 2010 Moses Kulola on ITV

Elections 2010 Moses Kulola on ITV

Askofu mmoja aliyekuwa anaheshimika na sasa amebaki kama kachanganyikiwa vile,...analazimisha maandiko matakatifu yampigie kura mwanasiasa fulani. Kuchakachua dini huko
 
Pesa za kampeni ziko nyingi mwenye mbinu ya kuzila mwache ale. Raia wengi tayari wameshafanya maamuzi ya nani wampigie kura
 
Askofu mmoja aliyekuwa anaheshimika na sasa amebaki kama kachanganyikiwa vile,...analazimisha maandiko matakatifu yampigie kura mwanasiasa fulani. Kuchakachua dini huko

Too late
 
Haangaliii hata watu usoni kwa aibu, poor him
 
Hawa wazee njaa haishi? Ona sasa wanauza wajukuu kupitia dini. Kina mama na wachanga wanakufa kwa kukosa huduma hospitalini.
 
Nilikuamini sana mzee Kulola lakini huku ulikokwenda siko, naanza kutia shaka uadilifu wako kwa watanzania
 
Nilikuamini sana mzee Kulola lakini huku ulikokwenda siko, naanza kutia shaka uadilifu wako kwa watanzania

Anatafuta umaarufu upya! inawezekana ''wateja'' wamepungua kanisani kwake na fungu la kumi si jingi kama zamani.
 
Back
Top Bottom