Habarini Wakuu,
Katika Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Mahakama ya Kisutu. Katika watuhumiwa waliokamatwa moshi Tunaambiwa Moses lichenje naye ni mtuhumiwa lakini mpaka sasa hajulikani alipo kama nimepitwa toka kesi imeanza tufahamishane wakuu