Moses Lijenje na wenzake walitenda kosa gani?

Moses Lijenje na wenzake walitenda kosa gani?

Noel wa ruben

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
364
Reaction score
515
Ni jambo la kustaajabisha na kusikitisha sana kusikia watu ambao walijifunza uzalendo kwa kiwango cha juu leo ndiyo wanaishia jela. Makomandoo wote hao nasikia walishiriki vita DRC Congo na walifanya kazi kwa weledi.

Je,tatizo ni vijana wenyewe au ni mfumo kwa anayefahamu, jamani atupe mwanga kidogo.
 
Hatujui kwa Nini walifukuzwa , wanaojua watakuja hapa kutuambia
 
Back
Top Bottom