Vinchthedream
Member
- Oct 5, 2011
- 18
- 3
Kwani ubunge wanagombea na pesa?anapoteza pesa zake bure ningemshauri aende shule akajiendeleze na kujijenga kimaisha kabla hajaingia kwy siasa
Dah!, Kupitia CCM kapotea njiaAlikua Tanzania one Form four na Form six
Ni zao la Ilboru sekondari
Achukua fomu ya kuwania ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi
Wengine kina nani mkuu??Acha upotoshaji !
Huyo kijana wa Ask.Mwizarubi hata hajawashinda wagombea wenzake CCM; iweje useme kuvaa rais wa Arusha mhe.Lema ?
Mtoto wa Askofu Nabii & Mtume Mwizarubi baada ya Baba yake kuchota fedha za kutosha za wana kondoo kijana anataka kutoka kivingine haaa haaa.
Nakushauri bora ungechagua fani ya Baba yako pengine ungetoka kimaisha kuliko siasa za Arusha utaangukia pua bureeeeee.
Wengine kina nani mkuu??
hahahhahha...mlokole kutoka CCM...Huyu nimepiga nae skuli
Hakuna kitu
Anaweza tu vitabu...alifaulu sana enzi hizo
Alafu yuko kwenye chama chakavu...ndio hovyooooooo
Akaeendelee kufundisha AIA