Moses Phiri, the silent killer

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa.

Anageuka haraka, anakimbia na mpira, anatoa pasi, anakaa kwenye nafasi na anajua kuzipasia nyavu.

Hasikiki sana wala hashangilii kwa makeke kama yule wa Congo lakini matokeo yanaonekana.

Kila lakheri kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…