Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Oooh! Ila hata huyo mke hatoweza kuniua kivyovyote, ananiujaje kwa mfano? Kwa sumu au? Kwa uchawi? Kwa kunitumia majambazi? In short hata akifanya hivyo hawezi kuniua, zaidi nitamuua kwa siri na kuutelekeza mzoga wake mbali huko!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
mbona mnajulikana kwa wizi na wanawake wenu wanajulikana kwa mauaji
Nenda gereza lenu la butimba kumejaa kuliko ukonga na segerea,mtu mzima akiwa na macho mekundu roho mnachukua...bado kuua albino yani mmewamaliza
 
Nenda gereza lenu la butimba kumejaa kuliko ukonga na segerea,mtu mzima akiwa na macho mekundu roho mnachukua...bado kuua albino yani mmewamaliza
hata hao wa mwanza nao wana roho mbaya ila ukweli lazima usemwe kuwa wanawake wenu ni wauwaji ndiomaana hata nyie mnawakimbia sikuhz au kama una jiamini kaoe kwenu machame tuone
 
Komaeni nao tu. Hamna kabila lisilo na watu wakatili.

Makabila mengine yana Ukatili kwa mambo mengineo ila sio kutoa uhai kisa mali, tena unamtoa roho mumeo au mamá yako kama yule Mmasy wa Arusha alivyomuua mamá yake kisha kumtumbukiza kwenye chemba ya choo
 
Mkuu nimekupenda sana
 
Mzee ,kuna wazazi mitihani si kitoto, unakuta mzee wako mali kibao na pesa nyingi. ila anataka utafute kazi ,kisa kakusomesha.Wazazi toeni urithi watoto wasimame kiuchumi.
Duh! Yaani mzazi amekulea, amekusomesha bado unataka Mali zake akugawie, mzazi anachoweza kukusaidia ni kukupa connection ya kazi ili upambana utafute zako na ujue uchungu wa mali. Watoto wengi wakipewa mitaji wanatapanya wanarudi tena kwa wazazi wao kwa sababu hawajui uchungu wa hizo Mali.
 
Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
No pain no gain!! Tafuta zako ujue thamani yake.
 
Hapa huyu dada kashiriana na mpenzi wake. Kuna jinsi mama alikuwa kikwazo. Wambane vizuri...chain nzima itajulikana. Huyu muuguzi mstaafu atakuwa na mali gani? Msidanganywe!!

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Kwa hilo sikubaliani, Kama ni ishu ya kuolewa mbona ni rahisi wanatoroshana tu, binti akirudi na mjukuu anaomba msamaha maisha yanaendelea.
 
Nenda gereza lenu la butimba kumejaa kuliko ukonga na segerea,mtu mzima akiwa na macho mekundu roho mnachukua...bado kuua albino yani mmewamaliza
Wale albino ni wachaga ndio wanaitoa dili na waganga wa kienyeji so wanakuja kuwatafuta huku mkuu.
 
Huyo Mzee alikuwa sawa. Mtoto natakiwa aambiwe live - ushakuwa katafute mali zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…