Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Hayo ni mambo ya hiari...mtu kasacrifise ujana wake kukulea na kukusomesha and everything...amefika uzeeni anataka apumue kidogo bado kuna jitu zima lina afya njema lakini livivu linataka kubaki tegemezi.
 
Siyo kweli, KIna; Mo,Aliko dangote ,Trump.... Hao ni mifano ya watu walio pewa mitaji na wametoboa.
 
Hayo ni mambo ya hiari...mtu kasacrifise ujana wake kukulea na kukusomesha and everything...amefika uzeeni anataka apumue kidogo bado kuna jitu zima lina afya njema lakini livivu linataka kubaki tegemezi.
Siyo wote ni wavivu,kuna wanao pambana haswa ,lakini support ina hitajika avuke mto wa umasikini....Kama zipo toa urithi.
 
Yaani mchaga wa kuoa ni yule aliyeokoka na uwe umemchunguza na umemuuliza Roho Mtakatifu kujiridhisha kama ni mtu sahihi.Siom wote ni wabaya lakini wengi kuna roho za tamaa za mali za kurithi zinawaandama kwa kiasi kikubwa sana
 
Mambo yasiwe mengi ni kusamehe ,sema sasa haki ipo wapi kwa waliopigwa mvua kwa kosa la mauaji,sema uhuru wake unasaidia nini kama jamii imeshamjua kama muuaji
 
Hana hatia....kesi za jinai upelelezi wake hukamilika ndani ya siku 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…