Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

Peribus

Senior Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
101
Reaction score
177
Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.KaribunišŸ™
 
Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.KaribunišŸ™
Hiki chuo kilikuwa chini ya Mwavuli wa SUA, na wanafunzi waliomaliza kipindi cha nyuma walikuwa wanapewa vyeti vya SUA.

Wanafunzi wake wa fani za Ushirika, Manunuzi na Uhasibu walifafanya vizuri sana kwenye soko la ajira kipindi cha nyuma, sijui kwa sasa product zinazotoka hapo (MOCU), ambapo hawako chini ya SUA.
 
Ushirika ilikua chuo kipindi inaitwa MuCCOBS ilikua bonge la chuo saizi sifa zimepungua
 
Me nawapendea usafi tu.kwa kweli mazingira ya chuo ni masafi sana.mambo ya products zao siyajui sana
 
Rushwa imerahisisha sana elimu pale,wakongwe pia hawapo wameingia vijana imekua tatizo .....nilipata gamba la SUA pale hakika haikuwa mchezo
Hili tatizo limekuwa sugu kwenye vyuo vyetu Tanzania.
 
Back
Top Bottom