Hiki chuo kilikuwa chini ya Mwavuli wa SUA, na wanafunzi waliomaliza kipindi cha nyuma walikuwa wanapewa vyeti vya SUA.Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuniš
Tatizo unadhani ni nini hasa mpaka kupungua sifa?Ushirika ilikua chuo kipindi inaitwa MuCCOBS ilikua bonge la chuo saizi sifa zimepungua
Rushwa imerahisisha sana elimu pale,wakongwe pia hawapo wameingia vijana imekua tatizo .....nilipata gamba la SUA pale hakika haikuwa mchezoTatizo unadhani ni nini hasa mpaka kupungua sifa?
Hili tatizo limekuwa sugu kwenye vyuo vyetu Tanzania.Rushwa imerahisisha sana elimu pale,wakongwe pia hawapo wameingia vijana imekua tatizo .....nilipata gamba la SUA pale hakika haikuwa mchezo