Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Mar 8, 2025 #1 Wakuu, Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa. Hii ni rushwa au zawadi? ===================================================== Meya Mstaafu wa Manispaa ya Moshi na Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi Juma raibu, ametoa sapoti ya magari 10 kusaidia wanawake kufika Jijini Arusha kushiriki siku ya wanawake Duniani. Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa. Hii ni rushwa au zawadi? ===================================================== Meya Mstaafu wa Manispaa ya Moshi na Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi Juma raibu, ametoa sapoti ya magari 10 kusaidia wanawake kufika Jijini Arusha kushiriki siku ya wanawake Duniani. Your browser is not able to display this video.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Mar 8, 2025 #2 Yote yake? Atakuwa tu ni wale wale.