By Mwandishi Bora
Member
- Jul 27, 2024
- 26
- 12
Mnamo 2020 tuliletewa baraka na Mungu ya kuwa na mgombea kutoka CCM NDG.PRISCUS TARIMO na tukampa kura za ndio tukiamini Atafanya maendeleo japo kidogo ambapo chadema walishindwa kabisa kutuletea..
Maajabu yakaongezeka kwa Mbunge huyu kuwa kinara wa maendeleo makubwa na yasiyo na kifani kwenye Jimbo letu la Moshi..
Amekaa muda mchache kafanya mambo makubwa sana na mengine yanaendelea kufanyika na tukisubiria fedha serikali kuu kwa ukamilifu wa miradi kadhaa inayoendelea kurindima Jimbo kwa KASI..
Mh.Priscus amekuwa TUNU na nyota njema kwa Wana moshi na nuru ya maendeleo inayoangaza huku ikimeremeta kwa mng'ao wa maendeleo endelevu anayo yapambania Mbunge wetu Mh.Priscus Tarimo wa CCM..
Moshi hatuna deni na mbunge wetu Bali sisi ndio tuna deni la kulipa kwake kwa kumpa kura za kishindo ili tuendelee kunufaika na baraka hizi za kiongozi Bora 2025-2030..
Tutakuchagua tutakupa ushirikiano wa aina zote katika uchaguzi wa mwaka huu na tutapiga kura za ndio kwako na za kishindo kwa Rais MAMA SAMIA na madiwani wote wa CCM.
PRISCUS TARIMO BINGWAA ANAFAA HATUMUACHI TUNA YEYE IMETIKI NJE NDANI