Moshi: Juma Raibu ang'olewa aunganishwa na Ole Sabaya kesi ya uhujumu uchumi

Hivi yule waziri Angela kairuki si alitanabaisha kwamba wakuu wa wilaya,mikoa si watumishi wa uma kwenye like sakata la vyetiii feki

How leo charge sheet inadai hao watuhumiwa ni public officers
 
Na ninyi CCM wakubwa kwa wadogo muwe makini wakati ujao.

Mnapofurahia eti kwa kuwa wasulubiwa ni CHADEMA tujifanye hatuoni wala kusikia mkumbuke mnao watesa wana watu, ndugu na jamaa wengi tu.

Jinsi unavyo watesa leo ndivyo unavyozidi kujitengenezea uadui na hatari ya baadae ambayo inaepukika kwa kutuliza akili yako kidogo tu.

Hongera sana utawala wa mama Samia.

Unafundisha wengi ukiwa mkuu, mwenye mamlaka makubwa sio lazima kutiisha watu kwa kuwakosesha amani au kuwadhuru ili wakuheshimu au wakutii. Kwasababu una njia nyingi za kuwatiisha bila vurugu zisizo lazima na Mwenyezi Mungu atakusaidia bila shaka.
 
Mkuu kada yetu imevamiwa na incompetent personel sijajua hata kama incharge wao alifanya vetting ya proof reading
 
 
Yote ni majangili tupu
 
Wakili unge- highlight hayo makosa ya kiuandishi na sio kuandika jumla jumla kwamba chaji imekosewa!
 
Raibu aliwahi kutajwa kwenye sakata la mfanyabiashara Elioth Lyimo, aliyedai kuchukuliwa fedha zake Sh25 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwamba wakati akizichukua alikuwa na Raibu.
Aisee....
 
... jamani CCM kumejaa majambazi sio mchezo! Kunahitajika reformation ya hali ya juu sana.
 
inafikirisha sana
 
Hivi hawa mawakili 'wenzenu' wa serikali huwa wanasoma vyuo tofauti na nyie?au wao huwa wanasomea kushindwa kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…