Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Aisee Arifu Moshi hupati mtu chali angu
 
Siku na muda wa kufanyika kwa hii training viwekwe wazi tunaobanwa na kazi za maofisini tuweze kufanya timetable adjustments
 
Sa
Siku na muda wa kufanyika kwa hii training viwekwe wazi tunaobanwa na kazi za maofisini tuweze kufanya timetable adjustments
Sawa mkuu tuwasiliane kwa namba hiyo.
 
Kweli eeeh!! Unazungumzia Moshi ipi? Mbona watu wanazidi kujiandikisha..
Arife acheni ubabaishaji tafuteni hela kwa jasho si kufanya vitu vinavyokuja cost watu mbeleni,Hizi network marketing za kuanzia bara asia au kule brazil siyo wazee.
 
Wewe ni mwakilishi wa kampuni gani ? Au uko as individual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…