Bora machinga mpungue
milele zote na akubarik hadi ushangae.Merry xmass mkuu.....Tumsifu Yesu kristo....
nani kakudanganya wanachukiwa serikalini, au hisia zako?Daah hawa jamaa wa kaskazini nimeshajua kwanini wanachukiwa serikalini,wanajua ukimpa madaraka mtu anayepathamini kwao basi kwao kutakuwa kwa simulizi,kuna mijitu tangu imekanyaga dar haijui hata mabasi ya kwao yanapandiwa wapi
Alafu mlalamke maisha magumuNi foleni yaani magari kila kona shamrashamra tu huku mgombani yaani ni jambo la kushukuru kwakweli.
Aika ruwa wakwa nimeiona krismas ndo hivyo tena nami siacha kuhesabiwa hata nauli ingefika laki 3 kiruuuu ningekuja. Na nilivyo na ugwadu wa wari/ pombe ya mbege yeleuwiii leo nakesha na pipa!!!!
Merry x-mass wote