Moshi: Majeneza yaadimika

Kila mtu anatoa sababu yake kwanini Moshi kuwe na hali hiyo mwengine anasema kwa sababu watu huko ni walevi sana kinga zao zimekuwa dhaifu mwengine anasema huko wanaingia sana wageni kutoka nje ndio huleta hayo maambukizi ila wengine husema ni utamaduni tu wao kwamba wakifiwa huenda kuzikia huko kwao.
 
Wandugu hali ni mbaya na inazidi kuwa mbaya..korona ipo..Its not a joke.. Tukuchukue tahadhari zote muhimu huku tukifanya maombi na swala

Mkuu bila kusahau chanjo
 
Shetani akitaka kuteka au kuangamiza huteka Akili kwanza nafsini mwa Mtu. Hivyo kuleta hofu na Maangamizo. Matokeo ya rohoni hijidhihirisha Mwilini hivyo huwezi kukishinda Chanzo kitokeacho Rohoni kwa Mapambano ya Kimwili yaan Nje.
 
Hawa ndo wachaga wanashindani mpaka kwenye kuzika na kununua majeneza
Watu mnaoishi Moshi tuambieni sehem wanazotengeneza majeneza zipo ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…